Translate this blog in your favourable language

My pager view

Monday, August 2, 2010

nilikua napiga book ndo mana kimya kingi mana najua kila siku siishi visababu ila try 2 4 giv again and again

steve used to say...kila ki2 kinaanza polepole ila mi najitahidi kwenda fasta ila niskilizieni mwana wenu nazidi kuwaletea mambo mazito ila unajua unapoamua kufanya kitu lazima na mikakati iwepo ili  mwisho wa siku kila kitu kiwe kwenye mstari naomba uvumilivu  kwani kila kilicho bora kimeundwa na mimi pia naunda changu bila shaka mtafurahia ujio wangu ... thanksss,..