Translate this blog in your favourable language

My pager view

Wednesday, December 15, 2010

FEMALE GENITAL MUTILATION [TOHARA] NA MADHARA YAKE KWA WANAWAKE

WATOTO WAKIKE WAKIFANYIWA UKEKETAJI KWA WAKATI MMOJA JAMBO AMBALO HUHATARISHA MAISHA YAO..
Tohara 
ni upasuaji mdogo wa kukata na kuondoa govi, yaani ngozi inayofunika kichwa cha uume.
MTOTO ALIEKOSA RAHA NA KUATHIRIKA KISAIKOLOJIA KUTOKANA NA TOHARA
Wakati mwingine ukeketaji huitwa "tohara ya mwanamke".
Inaweza kufanyika katika umri wowote na kwa sababu za kiutamaduni, za kidini au za kiganga. Mara nyingi desturi za kutahiri zinachanganya sababu za kidini na kiutamaduni. Kwa mfano, Waislamu wa Misri huamini ya kwamba wanatahiri watoto wao kama amri ya kidini lakini Wakristo Wakopti wa nchi hiyo hutahiri watoto vilevile. Ukweli ni kwamba tohara inajulikana ilikuwa desturi ya Wamisri tangu kale.
Tohara inafanyika hasa mara baada ya kuzaliwa kwa mtoto au wakati wa kubalehe.
HIZI NI KAMPENI ZA UKEKETAJI AMBAO UNAPEWA KIPAUMBELE NA JAMII NYINGI SAHA ZA VIJIJINI
Wanawake na wasichana wanaokaribia milioni 140 duniani kote wamefanyiwa FGM, kulingana na Shirika la Afya Ulimwenguni (WHO). Pia linakadiria kuwa wanawake wapatao 8,000 wako katika hatari ya kufanyiwa tohara kila siku.
Utekelezaji wa kitendo hicho unatofautiana kulingana na sababu kama vile historia ya kikabila ya mwathirika na mahali jumuiya yake inapatikana. Wasichana wa umri wa chini ya mwaka mmoja wanafanyiwa tohara na inatumika zaidi kwa wasichana wa hadi umri wa miaka 15.
Ikiwa inafanyika katika kile ambacho mashirika ya haki za binadamu inaita ‘’mazingira ya kutisha, mara nyingi inawahusisha wasichana waliotiwa hofu wakati waendeshaji wa tohara wa jadi wanatumia vitu vyenye ncha kali kama vile visu, viwembe au glasi zilizovunjika kufanyia tohara.
Kumekuwa na ushahidi kuwa madaktari na wafanyakazi wa hospitali wanashiriki katika baadhi ya matukio.
Kuna aina nne ya tohara kama ilivyogawanywa na WHO. Waris Dirie, mwanamitindo wa zamani wa Somalia ambaye pia ni mwathirika wa FGM na ambaye anaendesha shirika lake la kufanya kampeni dhidi ya FGM lenye makao yake Vienna, Austria, alisema kuwa pamoja na kwamba sheria zimepitishwa barani Ulaya kujaribu na kukomesha FGM mila hiyo inaenea kwa siri katika jumuiya.
Waris Dirie, mwanamitindo wa zamani wa Somalia ambaye pia ni mwathirika wa FGM na ambaye anaendesha shirika lake la kufanya kampeni dhidi ya FGM lenye makao yake Vienna, Austria, alisema kuwa pamoja na kwamba sheria zimepitishwa barani Ulaya kujaribu na kukomesha FGM mila hiyo inaenea kwa siri katika jumuiya.
HAYA NI MADHARA YA UKEKETAJI
1.INATEGEMEA SANA NA AINA YA UKEKETAJI ILA KIKAWAIDA KABISA MWANAMKE HAWEZI KUSIKIA RAHA WAKATI WA KUJAMIIANA
2. KAMA HAITOSHI TOHARA HIYO HAIFANYI KITAALAM NA INAWEZA KUSABABISHA DAMU NYINGI KUVUJA NA KUHATARISHA MAISHA YA MSICHANA
3. NI RAHISI SANA KUPATA MAGONJWA YA ZINAA KAMA UKIMWI NK, KWASABABU VIFAA VINATUMIKA KWA MTU ZAIDI YA MMOJA NA KWA WAKATI MMOJA AMA MDA MFUPI
4.INASABABISHA MATATIZO YA KISAIKOLOJIA MTOTO WA KIKE NA HII INAMPUNGUZIA FURSA YA KUFANYA VIZURI KATIKA MASOMO YA KE NK...
VIFAA VYA TOHARA HIYO HARAMU
       YAPO MENGI SNA KUHUSU KMAKALA HII KWA LEO NAISHIA HAPO NA WALE WALIONITUMIA EMAIL ZAO  NA MASWALI YAO NADHANI LEO NIMEJIBU YOTE KUPITIA MAIL ZAO
  SAY STEVEN ...




TCHAO..                                                      BAADHI YA PICHA ZIKO KIDOGO NJE YA MAADILI YA KITANZNIA NA KIAFRIKA KWA UJIMLA ILA TUVUMILIE ILI TUSOME...

6 comments:

Anonymous said...

I like the valuable information you provide in your articles.
I will bookmark your blog and check again here frequently.

I am quite sure I will learn many new stuff right
here! Best of luck for the next!

My weblog; free music downloads (twitter.com)

Anonymous said...

You made some really good points there. I looked on the internet to learn more about the issue
and found most people will go along with your views on this website.


my blog ... minecraft.net

Anonymous said...

This is very interesting, You're a very skilled blogger.
I've joined your feed and look forward to seeking more of your wonderful post.
Also, I have shared your web site in my social networks!



My webpage: KarlaQHeral

Anonymous said...

We're a gaggle of volunteers and opening a new scheme in our community.
Your site offered us with helpful information to work on. You've done a formidable job and our whole neighborhood will likely be grateful to you.


My web page; ReinaldoTEcheverria

Anonymous said...

I have to thank you for the efforts you've put
in writing this website. I am hoping to view the same high-grade blog posts
from you later on as well. In truth, your creative writing abilities has encouraged me to get my very own site now ;)

Feel free to visit my webpage :: quest bars

Anonymous said...

Hello all, here every one is sharing these know-how,
so it's fastidious to read this web site, and
I used to pay a quick visit this website daily.


Feel free to surf to my web-site: quest bars